Monday, April 3, 2017
Tuesday, February 28, 2017
NEW GOSPEL VIDEO | EUNICE NJERI - AMENI (OFFICIAL VIDEO) | Mp4 Download

kupitiatovuti yako bora kabisa na kama ww ni msanii na ungependa nyimbo
yako ionekane apa tutafute kwa no; +255714903603
Sunday, February 19, 2017
Monday, January 23, 2017
NEW GOSPEL VIDEO |Jennifer Mgendi - Mitihani ya Maisha | Mp4 Download

kupitiatovuti yako bora kabisa na kama ww ni msanii na ungependa nyimbo
yako ionekane apa tutafute kwa no; +255714903603
Sunday, January 22, 2017
NEW GOSPEL VIDEO | Bahati Bukuku – Tuliza Mawimbi | Mp4 Download

NEW GOSPEL VIDEO | Ikupa Mwambenja - Uzuri Wako | Mp4 Download

NEW GOSPEL VIDEO | Ikupa Mwambenja - Uzuri Wako | Mp4
Download..nimekusogezea apa video yake mpya kabisa kuwa wa kwanza kuiona
kupitiatovuti yako bora kabisa na kama ww ni msanii na ungependa nyimbo
yako ionekane apa tutafute kwa no; +255714903603
Tuesday, January 3, 2017
NEW GOSPEL VIDEO | Samson Classic ft Jesus Classic Soldiers – UPENDO WAKO | Mp4 Download

tovuti yako bora kabisa na kama ww ni msanii na ungependa nyimbo yako
ionekane apa tutafute kwa no; +255714903603
Thursday, December 29, 2016
Jennifer Mgendi kuvunja ukimya kwa albamu mpya pamoja na filamu
Muimbaji huyo ambaye amewahi kutamba na wimbo Mchimba Mashimo, Nalia
na nyingine nyingi, amesema kuwa ameamua kuachia albamu hiyo kama zawadi
ya kuwatia moyo mashabiki wake wanaopita katika magumu mbalimbali.
“Nina kila sababu ya kufikisha ujumbe ambao Mungu ameweka moyoni mwangu kwa walimwengu juu ya uweza wa Mungu na kwamba atatuvusha katika magumu yote,”
Aliongeza, “Albumu hii ni mwanzo wa ujio wa filamu yangu mpya ya Baba Jackie ambayo imewasilishwa na wimbo wa Tamaa Mbele,”.
Baadhi ya nyimbo zilizomo kwenye albumu hiyo ni pamoja na Tamaa Mbele (Baba Jackie), Penda Unapopendwa, Yesu ni Wathamani, Mitihani ya Maisha na Ninamshukuru Adui.

Wednesday, December 28, 2016
New Gospel Audio |Vaileth Mwaisumo - Nimempata Yesu | Mp3 Download

New Gospel Audio |Vaileth Mwaisumo - Nimempata Yesu | Mp3 Download..nimekusogezea
apa Audio yake mpya na kama na wewe ni msanii na ungependa nyimbo yako
ya gospel ionekane kwenye blog hii wasiliana nasi kwa no +255714903603
NEW GOSPEL VIDEO | DANNY GIFT FT SOLOMON MKUBWA - WEWE NI MUNGU | Mp4 Download

Rose Muhando afunguka haya baada ya kuambiwa anatumia madawa ya kulevya
Msanii mkongwe wa nyimbo za Injili nchini Rose Muhando amekanusha
taarifa ambazo zilizagaa katika mitandao ya kijamii kuwa ameingia katika
matumizi ya Madawa ya kulevya.
Muimbaji huyo alidai taarifa hizo zilisambazwa na watu ambao hawamtakii mema katika maisha yake kutokana na kwenda nao tofauti katika makubaliano ya kufanya nao kazi.
“Situmii madawa na sitatumia, kama waliona ndiyo skendo itakayonimaliza wameshindwa, wanaofanya hivyo ni watu wanaotaka kunimaliza walitaka nifanye kazi zao, nikakataa.” Rose aliuambiia mtandao wa gazeti la Mwanaspoti.
Aliongeza, “Sijajiingiza na mambo hayo na wanavyozungumza nasikitika kwa sababu wanaiumiza familia yangu kisaikolojia, mimi ni mama wa watoto watatu na nina ndugu zangu, naambiwa mambo yote hayo kwa sababu sina mtu wa kunitetea,”
Katika katua nyingine muimbaji huyo alizungumzia kuhusu ukimya wake pamoja na ujio wake mpya.
“Nipo hata hivyo kuna kazi nyingine nimeandaa ipo kwa Alex Msama bado haijatoka kutokana na mambo mbalimbali, ingawa naandaa kazi nyingine ninayotegemea kuikamilisha mwezi wa tatu mwakani tutakapojaaliwa. Nimeshaanza kuandaa baadhi ya nyimbo na nyingine naendelea kutunga, unajua kazi hizi huwa nasikiliza sauti ya Mungu aniambie niimbe nini.”
“Pia, nimekuwa nafanya huduma ya kuimba katika mikutano tofauti ndani na nje ya nchi kama hivi jana umenikuta natoka kijiji cha jirani kuimba na wiki iliyopita, nilikuwa Kenya ambako nilifanya huduma, Kisumu na Mombasa, nimeamua kufanya hivyo kwa sababu zangu,” anasema Rose.

Tuesday, December 27, 2016
NEW GOSPEL VIDEO | Ritha Komba - Kwa Uweza Wa Baba | Mp4 Download

NEW GOSPEL VIDEO | Ritha Komba - Kwa Uweza Wa Baba | Mp4 Download..nimekusogezea apa video yake mpya kabisa kuwa wa kwanza kuiona kupitia
tovuti yako bora kabisa na kama ww ni msanii na ungependa nyimbo yako
ionekane apa tutafute kwa no; +255714903603
NEW GOSPEL VIDEO | Masanja Mkandamizaji ft Walter Chilambo – Monica | Mp4 Download

tovuti yako bora kabisa na kama ww ni msanii na ungependa nyimbo yako
ionekane apa tutafute kwa no; +255714903603
Monday, December 26, 2016
Monday, December 19, 2016
Historia fupi ya maisha mtumishi wa mungu Anthony Lusekelo Mzee wa Upako (Part. 2)

Historia fupi ya maisha mtumishi wa mungu Anthony Lusekelo Mzee wa Upako (Part. 2)...................... na kama na wewe ni msanii na ungependa nyimbo yako ya gospel ionekane kwenye blog hii wasiliananasi kwa no +255714903603
Mchungaji alia na waumini sakata la bwana harusi
Mbeya. Sakata la bwana harusi mtarajiwa kumkimbia bibi harusi kanisani,
limemuibua Mchungaji wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT)
Usharika wa Isanga jijini hapa, Andagile Mwakijungu ambaye amewalaumu
waumini kusambaza habari za uongo.
Ijumaa iliyopita, bwana harusi huyo aliyetajwa kwa jina la Samuel John hakufika kanisani kufunga ndoa na Given Mgaya katika muda aliotakiwa kufanya hivyo.
Akizungumza wakati wa ibada ya kwanza jana asubuhi, Mchungaji Mwakijungu alisikitishwa na kile alichodai kuwa ni uongo wa waumini waliousambaza kuwa bwana harusi alitoweka baada ya kupigiwa simu kwamba bibi harusi ni mjamzito.
“Waumini acheni kusambaza maneno ambayo hamna uhakika nayo, kwani uongo ni kama mtu muuaji anayeua binadamu mwenzake kwa panga. Tuendelee kutafuta amani na kumtumikia Mungu kwa njia iliyo sahihi,” alisema.
Akifafanua kwa waandishi waliokuwa kanisani hapo, mchungaji huyo alisema hadi sasa hakuna anayefahamu ukweli wa kiini cha bwana harusi huyo kutofika kanisani wakati taratibu zote za awali alishiriki na kushirikishwa.
“Ni kweli Ijumaa ilikuwa ifungwe ndoa, lakini bahati mbaya dakika za mwisho kijana wa kiume hakutokea kanisani na hata nilipompigia simu alinijibu anakuja hadi saa saba mchana ikawa kimya huku bibi harusi akiwa hapa kanisani,” alisema.
Akizungumzia taratibu za ndoa hiyo, mchungaji huyo alisema aliitangaza siku 21 kwa mujibu wa sheria na hapakuwapo na pingamizi lolote.
Alisema kutokana na hali hiyo Alhamisi jioni ikiwa ni siku moja kabla ya ndoa alikutana na kuzungumza na wanandoa hao huku kila mmoja akiwa mwenye furaha na kupeana miadi ya kuwahi ili wamalize shughuli yao mapema.

Mzee wa Upako adai kuneemeka kwa mgogoro
Dar es Salaam. Mchungaji wa Kanisa la Maombezi (GRC), Anthony Lusekelo
amesema changamoto alizokutana nazo kwenye nafasi yake ya utumishi
zimekuwa chanzo cha kupata zawadi ya magari mawili mapya likiwamo aina
ya Toyota Land Cruiser lenye thamani ya Sh200 milioni.
Mchungaji huyo maarufu kwa jina la Mzee wa Upako ametoa kauli hiyo mbele ya waumini wake jana katika kanisa hilo lililopo Ubungo, Kibangu jijini hapa ikiwa ni mwendelezo wa mahubiri yake ya kila Jumapili.
Katika mahubiri hayo, Mzee wa Upako pia amekuwa akijibu mapigo baada ya kuzagaa kwa taarifa iliyoambatana na video iliyomuonyesha akijibizana na jirani yake, huku akimtishia kifo.
Pia, wiki iliyopita alitoa utabiri kwamba waandishi wa habari walioandika habari za kumchafua watakufa kabla ya Machi 2017, vinginevyo ataacha kuhubiri na kwenda kuuza gongo.

Monday, December 12, 2016
New Gospel Audio | Mr. Dayos - Hali Si Shwari | Download Mp3
umeanza kuwa Gumzo na kugusa maisha ya watu wengi kutokana na hali
halisi ya Maisha yaliyozunguka jamii, Wimbo huo wa hali si shwari
umefanyiwa video ya matukio ya kuonyesha dhiki na mwisho wa Dunia
ambayo teali dariri zinaonyesha Hali Si shwari, Kwa wale wasiyo mjua
Mr. Dayos ni kati ya waimbaji wakongwe ambao walitokea kwenye music wa
Bongo fleva, ambapo aliwahi kufanya kazi na John Woka ambaye kwa sasa
ni marehemu, na hatimaye, Mr. Dayos (Steven Dayos Chacha) Aliingia
kwenye Gospel Music na kumtumikia Mungu na sasa ana albam 4 ambazo ni
Roho kaa Ndani Yangu, Rafiki wa Kweli,Wewe wajua, na hivi sasa amekuja
na nyimbo nyingi mpya ukiwemo Hali si shwari, ambao waweza kuusikiliza
na kuutafakali ukapata kitu, na kuendelea kuiendeleza huduma yake ya
uimbaji...na kama na wewe ni msanii na ungependa nyimbo yako ya gospel ionekane kwenye blog hii wasiliana nasi kwa no +255714903603
Download nyimbo yake apa
Friday, December 9, 2016
New Gospel Audio | Christina Gasper - Kazaliwa | Download Mp3
SKILIZA NYIMBO YAKE APA CHINI NA KU DOWNLOAD
Saturday, December 3, 2016
Waimbaji wa nyimbo za injili kutoka Tanzania,Burundi,Zambia wanatarajia kufanya bonge la tamasha nchini Burundi.
Tarehe 17 December 2016 nchini Burundi patafanyika bonge la tamasha (BUHEKA KWA YESU) ambalo limeandaliwa na wasani wa nyimbo za injili kuto Burundi,Tanzania na Zambia'.
Tamasha hilo lipo chini ya Jean Marie Muco ambae kwasasa anazichapa kazi zake nchini Zambia na itakua ni fursa kubwa kwake kuutambulisha wimbo wake mpya ambao alishirikiana na msani Nzeyimana Mkombozi.
Kwenye tamasha hilo patakuwepo wasani wengi wa Gospel kama Pastor Yusto onesmo, Samuel Paschal, Beatrice Daniel,Yasinta paulo, Method Jeremiah wote kutoka Tanzania na wengine wengi.
Patakuwepo pia :Pastor Joseph,NTIRANYIBAGIRA Jeannette(Evangeliste),Sostene Doudou,....
Tamasha litafanyikia mkoani Makamba wilayani Nyaza-Lac(BUHEKA).
Na kiingilio itakua ni bure kabisa.
Mdau wangu usikose kufika ili upokee habari njema kutoka kwa bwana,

Subscribe to:
Posts (Atom)